Origin: Uknown
Use: Si tuna ishia Nyayo kucheki bako = We're going to Nyayo stadium to watch basketball
Period: Mid 70's
Synonyms: Bake
Pronounciation: (Verb) [ ba-ko ]
Relate: Sport
History: Originated from the English word ''basketball''
No replies yet. Start the conversation.
Vile nyinyi wagesi, budako akishika ten shillings, ati Moi ana baki na vest
We m-ugly, ulipokuwa mtoi masako alikufeed na feya
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
kwenu ni ocha sana hadi sms ikifika unaipanguza vumbi