Origin: Calif
Use: Jua Cali udai yeye ndio baba ya babayao = Jua Cali claims that he is the father of their top dog
Period: Early 2000
Pronounciation: (Noun) [ Ba-ba-ya-ooh ]
History: Derived from the Swahili words "Baba" (Father) and "Yao" (Theirs) which when combined in Sheng mean "Top dog"
No replies yet. Start the conversation.
Mathako mnono akikalia kobole Moi hutoa makamasi
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.
una masikio big ukiwa mtoi ulikuwa unabebwa kaa trophy
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?
Wewe ni fala unarewind CD na biro pen