Origin: Unknown
Use: Nime ng'am ma arme waki train huko Uhuru Park = I've seen soldiers training at Uhuru Park
Period: Unknown
Synonyms: Sonyi
Pronounciation: (Noun) [ arr-me ]
Relate: Security
History: Derived from English word "Army"
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa
Nyanyako ni kipofu lakini mwachie kwa kuchagua ngotha za valentine
Tv yenyu nzee mpaka mkishuta kwa hao wasee wa kbc wanafunga mapua
Naskianga ati damu yako ni tamu jo, hadi mosquito zinakamingi na mandazi..!!
We m-ugly, ulipokuwa mtoi masako alikufeed na feya