Origin: Ofafa Marish
Use: Sija kanja afere leo = I havent paid any bus fare today.
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Ah-feh-reh ]
Relate: Mtaani Jiji Mrengo Karai Nganya Donda Konkodi Wariga Ubaro Rotejo Kamjesh Za Macho
History: Derived from the English word "FARE"
No replies yet. Start the conversation.
Wewe ni miser mpaka ukiwa kwa KBS back seat ukiitishwa doo unapoint nyuma
wewe ni mjinga… mpaka ulirepeat kunyonya.
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
Asubuhi asubuhi toast mayai na jasho ya makende
wewe ni mweusi mpaka wameandika “scratch to reveal” kwa I.D yako