umenona hadi ukivaa t-shirt ya green unakaa kibanda ya mpesa
Kwenu ni kuchafu mpaka mende zenu huvaa slippers
ati nime sikia we ni munono adi uki faa shirti ya yellow una kaa school bus
Paka yenyu imeona mamovie mpaka ikifuata panya inalia tereng! tereng!
Nasikia we ni mkonde mpaka uki turn una disappear