Origin: Easich
Use: cheki io wadro uyo zaiq anauza -check those fake things that guy is selling
Period: 2010 - 2013
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ waa-drow ]
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
Ati kwenu nyinyi wachafu mpaka mkimaliza kuoga sabuni inawasengenya
We ni mrefu mpaka ukichoka kaa unatembea mtaani unajisupport na wire za simu
huyu mseee ana maskio kubwa,akiinuliwa juu!,anabebwa kaa trophy
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
Wewe ni mweusi mpaka ukitumia mtu Selfie inajiandika scratch to reveal.