Budako huhepa job ku-slide na socks
We mrefu mpaka KQ wanakuitia job ya kupanguza dirisha za ndege
Vile nyinyi wagesi, budako akishika ten shillings, ati Moi ana baki na vest
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi
Nyumba yenu imejengwa na ugali, wezi wakikuja wanasema “fungueni ama tutarudi na sukuma”