Origin: Unknown
Use: Yani una deal na punju na hauja nyiti radar? = You mean you can't see that you are dealing with a thief?!
Period: Late 90's
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Pu-n-ju ]
Variations: Poonju,
No replies yet. Start the conversation.
Una kichwa so mpaka ukiwa nasaa venye watu walikuwa wakiimba hedi,shoulder....wewe ulikuwa ukiimba.. hedi,hedi hedi,hedi
nasikia weni mweusi hadi una aribia makka fashion
Una kichwa kubwa mpaka dream zako zushow in dolby surround.
ati ndoto zako ni noma mpaka zi huanza… previously on..
Wewe ni mblack mpaka ukiwa karibu na makaa ya kuuza, customer anasema niwekee ile kubwa