Origin: Unknown
Use: Leo najiskia tu na plaka = Today I feel like eating chicken
Period: Late 2000
Synonyms: Ngohen
Pronounciation: (Noun) [ pla-ka ]
Relate: Keroma Dishi Mriadho Kutia base
Variations: Plucker, Plucka
History: Probably from English word "Pluck"
Clarification: -,
No replies yet. Start the conversation.
Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic
Umeunga mpaka unatoanga ngozi ya miwa ka ndizi
nasikia we niweusi hadi una aribia makka fashion
We mzee na danda mbaka ulikuwa naso na onyato ati na ujamada form four bado
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu