Origin: Unknown
Use: 1. Naskia Jeff ni mgwan kwa bano = I hear Jeff is skilled at marbles. 2. Anto ni mgwan kwa reso = Anthony is so dangerous in wrestling.
Period: Unknown
Pronounciation: (Adjective) [ mgu-an ]
No replies yet. Start the conversation.
Doggy yenu imebeat hadi iki bark lazima ijishikilie kwa ukuta.
Ati umezoea kuokoa jahazi hadi safcom hukuuliza utahama lini?
Ati wewe nimchafu mpaka ukiingia kwa lake kuswim, fish zinatoka kutema mate
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.
Wewe ni fala mpaka uikiingia kwa KBS unapiga hodi na unatoa viatu