Origin: -
Use: Jana usiku hatukuwa na masti = Yesterday night we dint have electricity
Period: Early 2000
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Noun) [ Ma-stee ]
History: Mastee The word was reversed from the swahili word meaning electricity
No replies yet. Start the conversation.
Nyumba yenu imejengwa na ugali, wezi wakikuja wanasema “fungueni ama tutarudi na sukuma”
Nyinyi ni wadosi hadi dogi zenu zina dogi za kuzichunga.
Kwenu muko wengi mpaka buda wenu ametengeza roundabout kwa hao.
Kwenyu kuchafu mpaka mende zenu ni oboho, ati wanaambia wale new wakae ridho kwa kitchen
Ati ulikuwa na bro wako kejani ukiskiza redio halafu mtangazaji akasema ati tunawapeleka moja kwa moja hadi uwanja wa uhuru park. Ati kuskia hivyo mkadandia redio.