Origin: Unknown
Use: huyo boy ni wa kutupa mbao! = That guy is the mistake making type!
Period: Unknown
Synonyms: Unknown
Pronounciation: (Verb) [ koo-too-pa mba-o ]
Relate: Dwanzi
Variations: -,
No replies yet. Start the conversation.
Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaitisha chumvi
Kwenyu mmesota sana wezi wakiingia wanatoka na experience tu
Ati wewe ni kichwa ngumu hadi ulikataa kuzaliwa uchi!
Ati phone yako ni ya zamoh,ukitumiwa sms unaishia kucollect kwa post office.
Balls zako bigi sana mpaka ukipiga shower unaziweka kwa rack zikauke