msee akona maskio kubwa hadi anashika waves za safaricom
Mdomo kubwa kama bakuli ya jela
naskia ukona mdomo kubwa hadi unakula ovacado kama njugu
Kwenyu nyinyi wachoyo mpaka mkipika kuku mnakula kama hamjawasha stima
Ati wewe ni mzee hadi ukizaliwa “OLD TESTAMENT” ilikuwa inaitwa “TESTAMENT”