Riengs
Hakuna mkate ngumu mbele ya chai.
~Benito
Origin:
Reference:
Likes: 0
More..
Ndugu yako akikufunza kuvua samaka, hapana vua mahali yeye anavua. na hatuongelelei samaki. Tafakari ya bubu.
~Wallalo_siku_zote06
Origin:
Reference:
Likes: 0
More..
Wahuni sio watu wazuri.
~Diman Mkare Classics
Origin:
Reference:
Likes: 0
More..
Ni heri shimo iko kwa mkono yako, kuliko mkono iko kwa shimo yako.
Origin:
Reference:
Likes: 0
More..
Wahuni wakiamka, mswaki ni moshi
~ Diman Mkare Classics
Origin:
Reference:
Likes: 0
More..
Usikazie tanye mtu anapendwa na Mungu, utapasuka msamba.
~Wepesi
Origin:
Reference:
Likes: 1
More..
Suraa mbayaa, suruali safii.
~Toronto boys
Origin:
Reference:
Likes: 0
More..
Maskini mabatini, usingizi ni ya ulaya.
~Toronto boys
Origin:
Reference:
Likes: 0
More..
Kiuno si ukubwa, kiuno ni kitu imefungwa hapo.
~Toronto boys
Origin:
Reference:
Likes: 0
More..
Fulifuli, kijana handsome lakini chupi mkebe.
~Toronto boys
Origin:
Reference:
Likes: 0
More..