Riengs

Ukitaka kujua nikona nguvu, jaribu kuniskumia mlango ya choo. ~Wallalo_siku_zote06

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Usikate tamaa. As long as the dice is still rolling, your six will come. ~Wallalo_siku_zote06

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Unaweka shida zako kwa status kwani Mungu akona smartphone? Piga magoti omba Mungu. ~Wallalo_siku_zote06

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Vitu za bure hazikujangi na heshima, learn to hustle. Hata kivuli yako itakuacha kwa giza. ~Wallalo_siku_zote06

Origin:

Reference:

Likes: 1

More..

Ati tables will turn? Ni wewe ubebane na kiti yako utafute meza ingine. ~Wallalo_siku_zote06

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Unapiga simu tu wakati wa shida, kwani nimekuwa ambulance. Wallalo_siku_zote06

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Kama hunijui sahii, usingoje mambo ifunguke useme unanijua. Hata mimi hiyo saa, sikujui na sikutambui. Wallalo_siku_zote06

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Mamorio wa uduu tunawatema, tunawasaniff,tunawachagua mmoja mmoja kama njugu, tunawarelease without an option to buy. ~Wallalo_siku_zote06

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Vitu unatafuta kwa hii maisha, zisifanye usahau vitu uko nazo. ~Wallalo_siku_zote06

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..

Kama hatusaidiani kutoka block nakublock. ~Wallalo_siku_zote06

Origin:

Reference:

Likes: 0

More..