Shuguli
Miraa/khat/jaba/taxin
Githeri
School/Shule
Water
Another one/Ingine
Thick/heavy silver chains
Behinds of a woman
Support Our Mission!
Your generous donations help us keep Sheng Mtaa running and improve our content. Every contribution, no matter how small, makes a difference.
ngozi ya nyanyako in tight mpaka akifunga jicho moja mguu inainuka
ety ww n mrefu Hadi unagotea mungu
naskia UK on a gumbo sensitive ukikula mboco moja Una hara Mani ya beans
msee akona maskio kubwa hadi anashika waves za safaricom
nasikia wewe ni mfupi mpaka wajua pahali shetani anaficha chupi
we ni mblaki Hadi damu inasaculate kwA mwili yako na torch
ATI budako ni mzee Hadi akona kaburi Kwa makende
ati nime sikia we ni munono adi uki faa shirti ya yellow una kaa school bus
Wahuni wakiamka, mswaki ni moshi ~ Diman Mjare Classics
Origin:
Reference:
Ni heri shimo iko kwa mkono yako, kuliko mkono iko kwa shimo yako.
Wahuni sio watu wazuri. ~Diman Mkare Classics
Hakuna mkate ngumu mbele ya chai. ~Benito
Lazima kunyeshe ndio tujue mabati imetobokea wapi ~Kartelo
Usijinyime ati unasave. Chunga unaeza fikisha mita udedi. nani atakula? Nani atakulaaaa? ~Alvoski
Kama huwezi niongezea starehe,niachie yenye niko nayo. usiniharibie furaha. ~Slim Poppa
Ukitaka kujua nikona nguvu, jaribu kuniskumia mlango ya choo. ~Wallalo_siku_zote06